Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
So hamzaani tangu hiyo siku? Kweli kuwa mpumbavu ni laana.Tumefanya sensa mwaka 2022 tulikuwa watu milioni 63, sasa wewe unatuletea data zinasema tupo watu milioni 71. Wakenya akili zenu sijui zinakaa wapi