Sipati picha vyoo vinakaaje!Ni wazuri wa kudanganya ila teknolojia inawaumbia vibaya sana hawana hamu endeleeni kupika data mwisho wa siku hazitaiva kama hiyo ni university huko kwingine hali ikoje sasa
Sipati picha vyoo vinakaaje!
Kunyan ni maskini mno,TZ ni mwanachuo gani ataishi sehemu kama hiyo!Mabati Slum city.
Mpaka Hostel za University ni za MABATI.
View: https://x.com/KenyanSays/status/1971937555491983744?t=8j96uwLUcgqGUVNOxbn4Hw&s=19
Kunyan ni maskini mno,TZ ni mwanachuo gani ataishi sehemu kama hiyo!
Leo haujui mitaa yenu ya uswazi yaliyotapakaa kila mahali?
Wakunya nyie ni wachafu na maskini 😂View attachment 3480494View attachment 3480495
Slums za naipori mmezigeuza hadi vivutio vya watalii,kunyan nyie wachafu na maskini
Jamaa wana dhiki sanaHata kwa kukaa bure hakuna mwanafunzi wa Bongo anaweza kukaa kwenye hayo mabanda ya Kuku.
Wakunya nyie ni wachafu na maskini 😂View attachment 3480512
He must be a Baganda! With his Kabaka yeke stuff! Anashindwa kumalizia kwa kusema Baganda iwe national language!
Pole kwa maumivu bongolala. It's interesting that data yako ndio sio ya kuchovya 😂😂😂View attachment 3480559
Jifariji na vidata vya kuchovya huku ukishindia mlo m1
Data ya kuchovya 🤣🤣🤣🤣