Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
I hate to admit but it is best way, watu binafsi kujijengea nyumba so far ndio imetuletea unplanned settlements na ndicho kinaendelea Dodoma sasa, watu wanajenga kiholela tuu ,inabidi tutofautishe mitaa au makazi yaliyopangiliwa na viwanja vilivyopimwa,bongo tuna viwanja vilivyopimwa ila makazi hayajapangiliwa hamna Tanzania kasoro sehemu chache kama fumba na kwa mbali avic na maeneo kadha ya masaki na oystarbayTZ nyumba nyingi hazijengwi na makampuni.
Hizi fahari za macho hazina future.
Mfano hoyo Fimba ni mradi wa Azam. Lakini wanaonudu kuisho hapo siyo Wazanzibar.
Tunapowacheka Wakenya, hatufakiwi kwenda njia hiyo.