πππbaridi ya kuchunga gate usiku na kulala na maiti isikufanye ujione ukona akili kuliko engineers, sawa kijana!ππππHii road ni kama waliojenga hawana akili aisee, hapa kutatokea ajali mara kwa mara, education ya kenya ni mavi kabisa.View attachment 3485449
RIP magufuli
Kila sehemu ni takataka na slums,kunyan wachafu sana!ng'ombe wanatafuta rizki zao ndani ya jiji la singapore ya africa ππππ»ππ»ππ»
View attachment 3485959
Why should we listen to people coming from a country with only 3 interchanges nchi mzima?Nyie ni watuy wajinga sana.
Miradi yenu mingi ni ya kiupigaji na ajabu mnashangilia ujinga.
Hakukua na sababu ya interchange ya aina hii hapo.
Ila Wakenya bhana, hii village ndo mnafananisha na Dar. Mbona Nairobi iko hyped sana jamani
View: https://vm.tiktok.com/ZMA9tAvp5/