Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Dar port inahudumia congo 80%,rwanda 90%,burundi 100%,malawi 70%,zambia 80%,uganda 30% na zimbabwe 20%,ni mjinga tu ndie atakaeamini dar port inazidiwa na ule ushuzi wa kundustan😅😅😅 Hawa watu wapumbavu kweli, kuna siku nimewaomba wanipe mzigo wa Uganda wanaohudumia wakanipa statistics zinazoonesha Uganda ina mzigo mkubwa mara 3 ya mzigo wa Tanzania unaohudumiwa Dar port 😂😂😂 and they believe that!