Mchina atayauwa haya majinga na wamempa na barabara nyingine kibao kunasiku mchina atakuwa anakusanya mapato makubwa kenya kuliko hata revenue authority ya Kenyaanother scandal chinnese project 😂😂
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1981634615593873538?s=46
Kama kweli hiyo ni Chinese first class kwani mchina alichana nayo toka miaka ya 70 ?Reli yenu ndio dhaifu. We told you our Chinese first class rail was better than your AREMA mkipinga hapa like your lives depend on it.
Ushawahi ona EMU kwa ukaribu?Your 2nd hand train has derailed less than a year after the launch. 🤣🤣 A new world record of unreliability.
Democracy doesn't mean choosing a leader you all agree upon you dimwit. 🚮🚮Lets say i am not ok! what have you benefited from democracy since it has started? when have you choosen a leader you have all agreed upon?
Kuna siku mchina atakuwa anakusanya kibunda kirefu kenya kuliko hata revenue authority yao😂😂😂😂 mchina hawez kosekana kenya ni kama maji ya kunywa
CRBC and shandong hi speed
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1981285626679877706?s=46
Nini kipya, ajali ama train kukwama ovyo ovyo?
Kama serikali inawasaidia kwa wananchi wao kuwaamini na kuwa vilaza,nchi ambayo mtu anaishi kwa 1$ kwa siku lakini mtu huyo huyo anaamini nchi yake ni tajirisijui hiyo GDP inawanufaisha nini wakati hawezu kufinance hata barabara za mitaa kazi yao ni kumpa mchina akusanye tolls huku wakiwa wamejificha kwenye kivuli cha ubepari huku anaefinance na collect pesa ni macommunist
Hata Watchman na Yule baboonman wamenyamaza of late. Ama baboon alikuwa kidnapped?😂😂BTW, Since uchakuguzi wa Vumbistan ukaribia wamekuwa quiet sana humu. Huwa wanasema uchaguzi wetu una tension ila huu wao umezidi. Ni kama wamerealize hizo chocha zao ni hot air na wako disappointed sana na jinsi nchi inavyoenda. Naona kama hawajiamini kivile. Wanaopost humu ni newbies watupu. Wale magwiji wamepotea. What's happening Geza Ulole instanbul Chamoto et al?
Hata Watchman na Yule baboonman wamenyamaza of late. Ama baboon alikuwa kidnapped?😂😂
Huwa wanasema wakenya watachinjana time ya uchaguzi, ni hao ndio wanachinjana this time round.
Uchaguzi wenu huwa investor na wageni wanahepa kwanza na kurudi uchaguzi ukiisha.BTW, Since uchakuguzi wa Vumbistan ukaribia wamekuwa quiet sana humu. Huwa wanasema uchaguzi wetu una tension ila huu wao umezidi. Ni kama wamerealize hizo chocha zao ni hot air na wako disappointed sana na jinsi nchi inavyoenda. Naona kama hawajiamini kivile. Wanaopost humu ni newbies watupu. Wale magwiji wamepotea. What's happening Geza Ulole instanbul Chamoto et al?
Damn yani hadi motorbikes za police have been branded with CCM colors. Waaaaaaa. 🤣 🤣 🤣 Huyu mathe ni mtiaji AF.No wonder they are still LDC.
View: https://x.com/cozwva/status/1981419907427283261?t=_CC1N1gfh4txYeciXQQklA&s=19
Wacha tuone kama wakona balls za kuandamana. Bongolalas hua waoga sana. 🤣 🤣BTW, Since uchakuguzi wa Vumbistan ukaribia wamekuwa quiet sana humu. Huwa wanasema uchaguzi wetu una tension ila huu wao umezidi. Ni kama wamerealize hizo chocha zao ni hot air na wako disappointed sana na jinsi nchi inavyoenda. Naona kama hawajiamini kivile. Wanaopost humu ni newbies watupu. Wale magwiji wamepotea. What's happening Geza Ulole instanbul Chamoto et al?
PERFECT! if you all didnt agree upon the elected why have you all been trying to remove every single leader since multiparty began?Democracy doesn't mean choosing a leader you all agree upon you dimwit. 🚮🚮
you wish or it was calculated before?If you care that much to know, Rugby will keep that stadium alive !.current top Rugby stadium (RFUEA grounds) is not big enough to accommodate the fan base . Kenya will have a chance to host many events including major concerts. It will be everybody’s dream to be there .