AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,395
- 3,411
🤣🤣🤣🤣lakini somtimes wasukuma mnafaa muwe seriouse bro, this is a matter of natinal of security. So this is the best of the best, the creme de la creme of the JWTZ special forces!?🤣🤣🤣🤣🤣🙌mungu wangu, nakufaa🤣🤣🤣🙌...lakini sufuria ni ya nini surely?🤣🤣🤣🤣🙌View attachment 3493460View attachment 3493461View attachment 3493462View attachment 3493463
haya acha tu linganishe na just regular KDF soldiers. Special forces ya wasukuma JWTZ wakibeba masufuria, miti na magunia, huku naye wanaume regular KDF soldiers wako ground kazini👏 👇View attachment 3493465View attachment 3493467View attachment 3493469View attachment 3493470View attachment 3493471View attachment 3493475
Ngayoni Mzee upumbavu umekujaa kichwani...
Sasa unataka kulinganisha picha Toka parade ya uwanja wa wazi kwa maonesho ya raia na picha za kwenye uwanja wa medani!?
Uelewa wako kwenye hayo mambo uko zaidi ya chini....