Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Huyo ni Mzee hana mifupa ya kukimbia akiandamana.Nenda kaandamane wee mzee
Huyo ni Mzee hana mifupa ya kukimbia akiandamana.Nenda kaandamane wee mzee
The army is with the people, but the CDF is still playing games. He's been warned publicly (twice) by Captain Tesha and Colonel Polepole, but he seems to be in bed with Samia.There's something I don't understand. In this Tanzanian protest, is the army with the people ama? Chamoto do you mind clarifying?
It seems Samia Government was unpopular even among the military ranks. If the army is on the people's side then you might have a chance.The army is with the people, but the CDF is still playing games. He's been warmed publicly (twice) by Captain Tesha and Colonel Polepole, but he seems to be in bed with Samia.
You bet.It seems Samia Government was unpopular even among the military ranks. If the army is on the people's side then you might have a chance.
Kuna misinformation sana online kutoka vloggers wa Kenya. Mbaya zaidi vloggers went wamejichimbia au labda wengi wao ni machawa, hivyo YouTuber wakenya na media kubwa za nje kuwa the only source ya kinachoendelea.Watu wa kibera kwa kushadadia na kuongelea mambo ambayo hawajui wamezidii.. vukeni border mje kama mnataka kujua kinachoendelea..
Mbona msitangaze wenyewe jinsi mambo yalivyo instead of being crybabies? Si wote mmehama thread?Kuna misinformation sana online kutoka vloggers wa Kenya. Mbaya zaidi vloggers went wamejichimbia au labda wengi wao ni machawa, hivyo YouTuber wakenya na media kubwa za nje kuwa the only source ya kinachoendelea.
Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?Mbona msitangaze wenyewe jinsi mambo yalivyo instead of being crybabies? Si wote mmehama thread?
Was Magufuli murdered? For what purpose? What was the endgame?Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?
Watu wanaogopa kupotezwa, hata jamaa zenu walipojitia kimbelembele kuja kwenye kesi ya Lissu unajuwa kilichotokea.
Walimuua mpaka rais wetu kipenzi, unafikiri kuna YouTuber au media ya kitanzania itaongelea maandamano? Nyinyi wakenya na kelele zenu zote, hamjafikia umafia wa hawa CCM mtandao labda Iddi Amin na Kagame pekee. Vitu vingine ni self explanatory.
Sisi hatuwezi kubali huo ujinga ama unadhani serikali haijawai jaribu kutufungia mitandao?Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?
Watu wanaogopa kupotezwa, hata jamaa zenu walipojitia kimbelembele kuja kwenye kesi ya Lissu unajuwa kilichotokea.
Walimuua mpaka rais wetu kipenzi, unafikiri kuna YouTuber au media ya kitanzania itaongelea maandamano? Nyinyi wakenya na kelele zenu zote, hamjafikia umafia wa hawa CCM mtandao labda Iddi Amin na Kagame pekee. Vitu vingine ni self explanatory.
Nyinyi hamjafikia level ya umafia tulio nao. Mmeshawahi uliwa rais aliye madarakani?Sisi hatuwezi kubali huo ujinga ama unadhani serikali haijawai jaribu kutufungia mitandao?
Yes, he was murdered, and it was cold blooded. No member of his family, including his wife and children were allowed to see him taking his last breath.Was Magufuli murdered?
For the group called mtandao (Kikwete, Rostam and co), to continue to loot our country's wealth. A good example of that is how the Masai were forcely removed from their ancestral land to make room for investors to build hotels.For what purpose?
Magufuli was their biggest obstacle, they needed him gone quick, for things to go back as usual.What was the endgame?
Bro, what you're experiencing now is childplay compared to what we endured under Moi and Kenyatta. Unajua nyinyi mlipata uhuru na Rais mpole asiye katili, sisi uhuru tuliupata na real mafia. Ndio maana nyinyi ndio mnaanza kupigana saahii, sisi tulianza kupigana 1960s. Alafu whenever a president dies in power, there's always speculation of foul play. Hata Kenyatta Sr. kuna wenye wanaamini aliuliwa.Nyinyi hamjafikia level ya umafia tulio nao. Mmeshawahi uliwa rais aliye madarakani?
His priorities are misplaced. Nchi inachomeka but he’s more worried about Taita roads . Maybe that’s his escape route plan..😃😃Nenda kaandamane wee mzee
Sikatai Moi alikuwa mafia ila Kenya bado hamna kikundi kilicho na nguvu, mpaka kufikia uwezo wa kumuua rais aliye madarakani.Bro, what you're experiencing now is childplay compared to what we endured under Moi and Kenyatta. Unajua nyinyi mlipata uhuru na Rais mpole asiye katili, sisi uhuru tuliupata na real mafia. Ndio maana nyinyi ndio mnaanza kupigana saahii, sisi tulianza kupigana 1960s. Alafu whenever a president dies in power, there's always speculation of foul play. Hata Kenyatta Sr. kuna wenye wanaamini aliuliwa.
Nimekwambia kifo cha Magufuli haijulikani whether aliuliwa ama kafa natural death maanake dunia ilivyo, Rais akifia madarakani lazima kuwe na wanaosema kauliwa na nikakutolea mfano wa Kenyatta. If you insist Magufuli was killed because some people say so then we can agree too that Kenyatta was killed because some people said so which kind of evens everything.Sikatai Moi alikuwa mafia ila Kenya bado hamna kikundi kilicho na nguvu, mpaka kufikia uwezo wa kumuua rais aliye madarakani.