Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1000211609.jpg
 
Sure, Kenyans wanadhani sisi tumetengana kama wao. Huku Muslims na Christians wanaishi kwa pamoja, kwa amani na upendo. Mimi mwenyewe mzazi wangu mmoja Mkristo mwingine ni muislamu
Mimi ni Mkristo na nimekua raised kwenye mkoa ambao upo dominated na waislamu, kamwe hawajawahi kunitenga, nina marafiki wengi waislamu na hakuna chuki yoyote ya kipuuzi. Ukienda Mbeya Region ambako kupo dominated na Christians, unakuta waislamu wanaishi kwa amani kabisa, wanavaa kanzu, wanasali suala tano na hakuna anayejali. Moja ya vitu bora sana Tanzania ni kwamba hakuna ubaguzi wa kipuuzi, hakuna ukabila wala udini
Bro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. Ni wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.
 
Hii nimeisoma mahali

Na Gaza nao inabidi wajiulize kwanini Dunia inawapambania sana?

Congo wajiulize kwanini Tanzania inapeleka mpaka Majeshi? Inawapenda sana?

Tanzania ilivyokuwa inasaidia nchi za SADC walijiuliza kama “ kwanini tunawapenda sana?”

Unayepaswa kujitafakari hapa ni wewe Mkuu.
Sasa nyie Wakundustan ndio wa kujipambanua kutusaidia sisi?
 
😂😂😂na Wa TZ hapa JF nasi pia tuchamgamke. Tukianza na Anus strar, uko wapi!? Ka kimbia tena!? Pia kaogopa CNN, propaganda zako zilishaungua tayari, badilisha profile pic baba. Lets appreciate the man he did an amazing job👏👏
Screenshot_20251122_072334_Facebook.jpg
 
Ndugu hakuna kitakachochemka, 66% ya Tanzanians ni youths, ni Gen Z. Wengi wameelimika na wana uelewa. Huwezi kuwagawa kirahisi hivyo. Unaweza kuwagawa hawa wazee maana wengi wao wana uelewa mdogo kutokana na elimu duni waliyoipata miaka ya 1980s
Kizazi cha waliokulia miaka ya 80 ni bora kielimu, kuliko hiki cha GenZ. kiwango cha ufaulu kilikuwa cha juu sana, wakati kuwango cha ufaulu kwa GenZ kimeshushwa sana.
 
Wakenya bhana!! Kwikwikwikwikwikwi Tunawajua lengo lenu.
Kenyans themselves don’t even share the same political opinions But There are actual Tanzanians like you who really believe Kenyans have gathered somewhere (i don’t know where) and formed united plan against Tanzanians😅

Either that or you are sick in the head bwoy.
I believe you are speaking on your own behalf because we have comrades fighting for a better country for a better Africa both in Tanzania and in Kenya as well as the whole continent supporting them
IMG_5149.jpeg
 
What criteria is being used to determine the number of AFH projects a place need? Kisumu City will have more projects only comparable to Nairobi.

Another one coming up, 15 blocks of 14 floors each.

1000117676.jpg
 
kwani garisa si walikuwa wanauliza dini gani kama mkristo wanauwa sasa ulitaka kitokee nini ndo useme ni sio udini?
Those were Somali Terrorists from Somalia you idiot. Those were not Kenyans...............and actually Kenyan Muslims defended Kenyan Christians from the terrorists by telling them, “kill us together or let us all go". Unajaribu kuforce tufanane ama unatafuta likes za AMARII zenye hazina maana maanake anazipeana kama k**a ya malaya?

We Kenyans are not like you. We admit our weaknesses. We admitt we have a tribalism problem that we are working on. But udini hatuna kabisa. Nyie mna udini ndio maana after the chaos, the first thing that came into your minds is udini.
 
Those were Somali Terrorists from Somalia you idiot. Those were not Kenyans...............and actually Kenyan Muslims defended Kenyan Christians from the terrorists by telling them, “kill us together or let us all go". Unajaribu kuforce tufanane ama unatafuta likes za AMARII zenye hazina maana maanake anazipeana kama k**a ya malaya?

We Kenyans are not like you. We admit our weaknesses. We admitt we have a tribalism problem that we are working on. But udini hatuna kabisa. Nyie mna udini ndio maana after the chaos, the first thing that came into your minds is udini.
Leta ushahidi sisi hatufanani kwasababu hatukuwa kuwa terrorist issues kama kunyalanda
 
Back
Top Bottom