Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"............do you imagine that when you hear of a country struggling with religious or ethnic tensions, it means its citizens are incapable of coexisting?"
Mara nyingi jamii hizo huwa hazichangamani, wanakuwa hawafahamiani vizuri. Wakipigwa propaganda kidogo tuu, wanakuwa nyumbu. Waingereza wameitumia hii kwenye makoloni yao yote (kuweka matabaka) divide and conquer.

Kuhusu kuishi pamoja, Tanzania ni tofauti sana na nchi nyingine, ilijengwa (engineered) kuondoa tofauti za kidini na kikabila.

Zamani, ukienda sekondari, ilikuwa (nitakupa mfano wa miji ya Kenya) ukitoka Mombasa, unapelekwa Turkana, wa Malaba anaenda Voi, yule wa Naivasha anapelekwa Malindi.

Unaona huo mchanganyiko?

Hiyo ndiyo jamii ya Tanzania ilivyojengwa na Nyerere. Wengi wa hawa walioleana na kuzaa kizazi chetu sisi, Gen X na Y.
 
This a side of Bongo I never knew existed. It’s like there has been always a religious tension beneath that Ujamaa unity that we all know and it’s only now coming to surface. Religious time bomb is more dangerous than any form of tribalism. Trust me.
Sasa hapo udini upo wapi?
 
Unaacha kujadili udini wa kweli uliotokea westgate na garrisa unajadili ushuzi?
 
Mara nying jamii hizo huwa hazichangamani, wanakuwa hawafahamiani vizuri. Wakipigwa propaganda kidogo tuu, wanakuwa nyumbu. Waingereza wameitumia hii kwenye makoloni yao yote (kuweka matabaka) divide and conquer.
With that logic then Kenya hakuna ukabila.
Kuhusu kuishi pamoja, Tanzania ni tofauti ssna na nchi nyingine, ilijengwa (engineered) kuondoa tofauti za kidini na kikabila.

Zamani, ukienda sekondari, ilikuwa (nitakupa mfano wa miji ya Kenya) ukitoka Mombasa, unapelekwa Turkana, wa Malaba anaenda Voi, yule wa Naivasha anapelekwa Malindi.

Unaona huo mchanganyiko?

Hiyo ndiyo jamii ya Tanzania ilivyojengwa na Nyerere. Wengi wa hawa walioleana na kuzaa kizazi chetu sisi, Gen X na Y.
Bro, this is a very normal thing. Nimekuja kugundua Tanzanians have an exaggarated sense of togetherness. Yani vitu vya kawaida wao wanaona ni maajabu ya umoja wa Nyerere. Mambo ya kutosomea mkoa ama wilaya yako ni kitu cha kawaida sana. Kenya kuna aina nne za shule.
1. National Schools - These are the highest rated schools that admit students with highest marks. These schools admit students from all over the country. Utakuwa Kakamega uitwe National School Mombasa.

2. Extra County Schools (Previously Provincial Schools) - These schools are rated lower than National schools. They admit students within a region For example, an extra county school in Machakos can admit students from Machakos, Kitui, Makueni, Embu, Meru, Isiolo and Marsabit counties.

3. Sub-County Schools (Formally district schools) These ones admit students within the same county.

4. Divisional Schools - These ones are mostly day mixed schools and can admit students within a workable distance from the school.

Sasa usione hii mambo kuwa maajabu sana.
Ukabila huwa unaonekana tu wakati wa kupiga kura ama wakati fisadi mmoja anapotaka kujitetea analaumu kuonewa kisa kabila lake linakuwa witch-hunted. Otherwise on a normal day-to-day interactions huo ujinga huwezi uona kabisa.
 
Wewe sidhani hata umenielewa nilichokiandika.

Nimesema hii ilikuwa sera za kimkakati kipindi cha ujamaa, ambapo 99% ya shule zilikuwa za serikali.

Hivyo 99% ya wanafunzi wa kitanzania wanachanganywa nchi nzima ili wafahamiane kama raia wa nchi moja.

Hata kama Kenya mnakitu kama hicho, ni kwa % ndogo na impact yake kwa nchi ni almost negligible.
 
Unapoteza muda wako hapo broo.
 
Hata wewe unaweza jirekodi hiyo vedio lakini haimanishi kuwa nchini kwako kuna udini ila udini wa kweli tuliuona garisa na westgate
Why are you bringing up an issue transacted by foreign terrorists?.. Al Shabaab is not a Kenyan outfit . Even the man who leads the charge to eradicate them is a Muslim ( Head of intelligence). So what’s your point?
 
With that logic then Kenya hakuna ukabila.

Bro, this is a very normal thing. Nimekuja kugundua Tanzanians have an exaggarated sense of togetherness. Yani vitu vya kawaida wao wanaona ni maajabu ya umoja wa Nyerere. Mambo ya kutosomea mkoa ama wilaya yako ni kitu cha kawaida sana. Kenya kuna aina nne za shule.
1. National Schools - These are the highest rated schools that admit students with highest marks. These schools admit students from all over the country. Utakuwa Kakamega uitwe National School Mombasa.

2. Extra County Schools (Previously Provincial Schools) - These schools are rated lower than National schools. They admit students within a region For example, an extra county school in Machakos can admit students from Machakos, Kitui, Makueni, Embu, Meru, Isiolo and Marsabit counties.

3. Sub-County Schools (Formally district schools) These ones admit students within the same county.

4. Divisional Schools - These ones are mostly day mixed schools and can admit students within a workable distance from the school.

Sasa usione hii mambo kuwa maajabu sana.
Ukabila huwa unaonekana tu wakati wa kupiga kura ama wakati fisadi mmoja anapotaka kujitetea analaumu kuonewa kisa kabila lake linakuwa witch-hunted. Otherwise on a normal day-to-day interactions huo ujinga huwezi uona kabisa.
Don’t forget it evolves around low income earners. You never hear such things in middle and upper class areas . Even during the infamous 2007 bloodshed, Kikuyus , Luos and Kalenjins were watching TV together in areas like Karen following the news development of the day. That shows how Politicians are manipulative.
 
Exactly, and mostly it is paid goons.
 
Why are you bringing up an issue transacted by foreign terrorists?.. Al Shabaab is not a Kenyan outfit . Even the man who leads the charge to eradicate them is a Muslim ( Head of intelligence). So what’s your point?
Kwani abdi logo recruitor wa alshabab alikuwa foreigner?
 
So he had to get his plot executed by foreigners?.. why didn’t he find terrorists from within ?… you are digging yourself into a hole but keep digging.. Lol..
 
IMG_5503.jpeg
 
Back
Top Bottom