Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Ni kweli maana wakati chadema anafungiwa mwamposa kanisa lake lilizinduliwa na mashekheNi sahihi ila mie nimekataa kusema kuwa Gwajima alishambuliwa na kufungiwa kanisa kisa udini.
Ilhali hayo ni masuala ya kisiasa sio dini.
Wanajulikana! Angalia Malindi, Isiolo n Kisumu airports!Ingekuwa kenya wangeiita state of art international airport
Hazijafika hata robo ya shinyangaWanajulikana! Angalia Malindi, Isiolo n Kisumu airports!
Hazijafika hata robo ya shinyangaWanajulikana! Angalia Malindi, Isiolo n Kisumu airports!
Ngoja waje humu kutoa povu!Hazijafika hata robo ya shinyanga
Hapana.Hawa Southern Africa siyo bure, kuna kitu mbaya walifanyiwa.
Ila Tz nilifikiri tuko 5%, imepungua? Halafu kwa jinsi hali ya nchi ilivyo waathirika wengi watashindwa kununua ARV, maambukizi yataongezeka, watu watapukutika.
This mama anatuharibia sana nchi na kundi lake la Vilaza kila kona ya uongozi Tanzania.
This mama anatuharibia sana nchi na kundi lake la Vilaza kila kona ya uongozi Tanzania.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1995981137500316057
Kenyans wanajorecord na kijiita Watanzania.
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1996056534225485849?s=20
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1996056668724133930?s=20