Nimekuja kukumbushia tu kuhusu hili eneo😂 Anayekumbuka maneno ya Mkundustan flani amfikishie ujumbe.
“LAND INFORMATION IS DYNAMIC OVER TIME”
Atukumbushe na ile picha yake inayompa amani😂
View: https://www.instagram.com/reel/DQMiMkviCt9/?igsh=MXAycTZyZmZoZ3Q4aA==
View attachment 3512188
Hivi Abasi yupo? Sijamsikia kitambo?
Brothers, I know that you guys are particularly thrilled about the BRT project, however this shows how easily you guys are satisfied. How is it that a bus rapid system has been the talk of the day since like a decade ago? About time you demanded more bruh.
View: https://x.com/ntvkenya/status/1997557943114564035?s=46
View: https://x.com/kenyans/status/1997543140136493561?s=46
Unaweza ukadhani sio wao Airport yao inavuja wakati wa mvua, wana uzalendo wa kishamba. 😂😂😂We should demand more and you are showing us new terminal? Really!
We have new terminal 3, Msalato airport nearly finished, Znz new terminal, Arusha new terminal. Please tuambie kitu kingine. Reason watu wanawaonesha BRT kila siku kwasababu mnaiponda sana. Phase 1 hiccups ziliwapa cha kuongea sasa Phase 2 imeanza vizuri lazima tuwakoge.
Anatuambia tudemand vitu zaidi halafu anatuonesha airport terminal! Mimi nilifikiri labda anatuonesha Nuclear power plant.Unaweza ukadhani sio wao Airport yao inavuja wakati wa mvua, wana uzalendo wa kishamba. 😂😂😂
Wakishatafuna miraa akili inawaambia nchi yao ni nchi ya ulimwengu wa kwanza.Anatuambia tudemand vitu zaidi halafu anatuonesha airport terminal! Mimi nilifikiri labda anatuonesha Nuclear power plant.
Africa bado tupo nyuma vitu basic hatujamaliza sasa wenzetu wakiongea utafikiri wao walishamaliza.
Wakishatafuna miraa akili inawaambia nchi yao ni nchi ya ulimwengu wa kwanza.
View attachment 3512766
Kenya is under construction. Currently it’s hard to keep up with what’s happening in the country, the transformation has begun. It seems Ruto is really serious about this ‘Singapore’ vision.
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1996867149319520460?s=46
View: https://x.com/mwangocapital/status/1995719637678563622?s=46View attachment 3511793View attachment 3511794
Meanwhile
View: https://x.com/kenyansays/status/1996899167223021666?s=46
Shida sio udogo wa nauli shida ni wizi wa mapatoHawa jamaa wanaendesha haya mabasi kama inavyotakiwa. Natumaini si nguvu ya soda. Nauli nasikia ni 1000/- wakati Kimara ni 750/- na Mbagala ni karibu kuliko Kimara kutokea Posta/Gerezani. Ila naunga mkono 750 ni ndogo na ni moja ya sababu phase 1 kuwa ya hovyo.
Mara ya kwanza kwenda Mbeya pale 'down town' (almost 30yrs ago), nilishangaa kuona mji ulivyo msafi. Kipindi hicho Dar ilikuwa kama ilivyo ile stendi ya basi ya Nairobi.
Hii list naikataa, Zimbabwe wanapesa zipi ya kutunza barabara zao, labda ile Zimbabwe ya 1980. Sijawahi kufika ila nimeona video nyingi za youtubers, hawatuzidi EA kwa barabara nzuri.
Top ten hakuna nchi ya EA
Brother Zimbabwe wapo na barabara nzuri mno. Tembea uone achana na propaganda za kwenye mediaHii list naikataa, Zimbabwe wanapesa zipi ya kutunza barabara zao, labda ile Zimbabwe ya 1980. Sijawahi kufika ila nimeona video nyingi za youtubers, hawatuzidi EA kwa barabara nzuri.
Na kweli, maeneo mengi Mbeya ni masafi, mji ni mkubwaMara ya kwanza kwenda Mbeya pale 'down town' (almost 3oyrs ago), nilishangaa kuona mji ulivyo msafi. Kipindi hicho Dar ilikuwa kama ilivyo ile stendi ya basi ya Nairobi.
Hiyo sehemu yenye mashamba ni new street, 5 years to come sehemu yote itakuwa covered na nyumba bora na za kisasaMashamba ndio unaita streets?