Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brothers, I know that you guys are particularly thrilled about the BRT project, however this shows how easily you guys are satisfied. How is it that a bus rapid system has been the talk of the day since like a decade ago? About time you demanded more bruh.

View: https://x.com/ntvkenya/status/1997557943114564035?s=46
View: https://x.com/kenyans/status/1997543140136493561?s=46
 
We should demand more and you are showing us new terminal? Really!
We have new terminal 3, Msalato airport nearly finished, Znz new terminal, Arusha new terminal. Please tuambie kitu kingine. Reason watu wanawaonesha BRT kila siku kwasababu mnaiponda sana. Phase 1 hiccups ziliwapa cha kuongea sasa Phase 2 imeanza vizuri lazima tuwakoge.
 
Unaweza ukadhani sio wao Airport yao inavuja wakati wa mvua, wana uzalendo wa kishamba. 😂😂😂
 
Unaweza ukadhani sio wao Airport yao inavuja wakati wa mvua, wana uzalendo wa kishamba. 😂😂😂
Anatuambia tudemand vitu zaidi halafu anatuonesha airport terminal! Mimi nilifikiri labda anatuonesha Nuclear power plant.
Africa bado tupo nyuma vitu basic hatujamaliza sasa wenzetu wakiongea utafikiri wao walishamaliza.
 
Anatuambia tudemand vitu zaidi halafu anatuonesha airport terminal! Mimi nilifikiri labda anatuonesha Nuclear power plant.
Africa bado tupo nyuma vitu basic hatujamaliza sasa wenzetu wakiongea utafikiri wao walishamaliza.
Wakishatafuna miraa akili inawaambia nchi yao ni nchi ya ulimwengu wa kwanza.
 
Afadhari ya huyo kulikuo wale wabunge wa kunya wanaoenda kulunch cho cha makuti na helicopter
 
Shida sio udogo wa nauli shida ni wizi wa mapato
 
Mara ya kwanza kwenda Mbeya pale 'down town' (almost 3oyrs ago), nilishangaa kuona mji ulivyo msafi. Kipindi hicho Dar ilikuwa kama ilivyo ile stendi ya basi ya Nairobi.
Na kweli, maeneo mengi Mbeya ni masafi, mji ni mkubwa
Na pia mji ulikuwa upo slow kwenye maendeleo ila sasahivi unakua kwa kasi sana. There's construction everywhere
 
Mashamba ndio unaita streets?
Hiyo sehemu yenye mashamba ni new street, 5 years to come sehemu yote itakuwa covered na nyumba bora na za kisasa
By the way University ninayosoma ipo Mbeya. Karibu Mbeya 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…