Kuhusu propaganda, mimi siko interested na hayo, nipo hapa kutoa maoni yangu binafsi tuu.
Kuhusu watu wa Tanganyika Law society (TLS), Maria Sarungi na hata Tundu lissu, mimi huwa siwaoni kama wana uzalendo wa kweli (labda kama kazi yao ni kupeleka watu maboya) ila kusema CCM mtandao ni wazalendo, hapo ndipo tutatofautiana.
Magufuli kweli alikuwa mzalendo, ukiondoa mapungufu aliyokuwa nayo, alileta positive impact kwa nchi yetu, ndiyo maana wakamuua, sasa unajiuliza, walimuua mzalendo kwa faida ya nani?
Sasa hivi tunaona mpasuko, watu wanaanza kuchochea udini, hii ni kwa faida ya nani? Ikichafuka Tanzania, utafurahi?