Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana Watanzania walikutana kumwabudu Mungu kwa Mwamposa

1766203697863.png

1766203724215.png

1766203739349.png

1766203755439.png

1766203771518.png

1766203784334.png
 
Unaandika kitabu boss - unasema kuwa Israel haijawin vita yoyote.The fact that the Nation of Israel exists proves my point, If Israel lost any war hakungekuwa na Israel!! So Israel has never lost a major war..
Alafu mambo ya ku blame israel kuwa the colonizers ni upuzi. Native israelis sio waarabu, ni Jewish.
Kufeli kwa vita Israel haimaanishi kuwa Israel ingefutika.
Vivyo hivyo kuwepo kwa Israel haimaanishi kuwa Israel ilishinda na ina nguvu.
Israel uwepo wake ni kwamba USA na EU wanaiokoa kila inapoelekea kushindwa na ndio wanailea hiyo nchi.
Mfano mzuri vita ya June na Iran.
Nasisitiza tena,kama USA, GERMANY, FRANCE na UK wasingeingilia kati na kuitishia zaidi Iran kwa economic sanctions leo hii tungekua tunaongea mengine. Maana Iran ilijipanga kupiga hypersonic missile kwenye nuclear facilities za Israel.
Usikaze fuvu.

Israel ni colonizer kwasababu anakalia ardhi isiyo yake kimabavu. Palestine ilikuwepo millennial back na ilipata uhuru toka kwa Muingereza. Aya waweza kutwambia Israel ilikuwa wapi kabla ya 1948!?
 
Add same amount of cash ( in dollars)for a 6 units of KAI stealth fighters. Kenya could become the first African country to pocess Stealth fighters ( 5th Gen). A nice add to the F-16 collection. KAI is a US backed South Korean made new fighter. South Korea has allowed few exports and Kenya is on their radar . Imagine these two types together . Ruto means business with his Singapore talk. He really wanna cement his legacy… KAF officials already met with Koreans.
View attachment 3517935View attachment 3517936
KAI and F-16
Ukunduni mna F16?
 
Kufeli kwa vita Israel haimaanishi kuwa Israel ingefutika.
Vivyo hivyo kuwepo kwa Israel haimaanishi kuwa Israel ilishinda na ina nguvu.
Israel uwepo wake ni kwamba USA na EU wanaiokoa kila inapoelekea kushindwa na ndio wanailea hiyo nchi.
Mfano mzuri vita ya June na Iran.
Nasisitiza tena,kama USA, GERMANY, FRANCE na UK wasingeingilia kati na kuitishia zaidi Iran kwa economic sanctions leo hii tungekua tunaongea mengine. Maana Iran ilijipanga kupiga hypersonic missile kwenye nuclear facilities za Israel.
Usikaze fuvu.

Israel ni colonizer kwasababu anakalia ardhi isiyo yake kimabavu. Palestine ilikuwepo millennial back na ilipata uhuru toka kwa Muingereza. Aya waweza kutwambia Israel ilikuwa wapi kabla ya 1948!?
😅😅 shida yako ni aidha haujui ama una ignore history ya kale..
1. Hata kabla ya the west kuanza kuipa support Israel, walikuwa wanapigana vita na walishinda.
2. Jina Palestine yenyewe ni jina iliotokana na the ancient philistines and way later the greek renamed the region Syria Philistine.. the letter ‘P’ haipatikani katika Arabic alphabet - the only way arabs settled in palestine is because of the Islamic conquest- they moved around spreading islam.
but then Jews existed way before Islam started.
3. English is the most spoken language in the world by non natives. followed by spanish, french, Arabic is the 4th most spoken language by non natives on earth. We both know how those languages spread. Please Remind me How many people speak Hebrew again?
Logically speaking who is the real colonizer here
 
but then Jews existed way before Islam started
Kwikwikwikwi, Tueleze lini walipigana wakashinda? Kila mtu anajua Netanyahu ni raia wa Poland
 
😅😅 shida yako ni aidha haujui ama una ignore history ya kale..
Ndio shida ya Kenyans elimu hamuna mnajifanya wajuaji.
1. Hata kabla ya the west kuanza kuipa support Israel, walikuwa wanapigana vita na walishinda.
Uk walianza ku support waisrael tangu kuanguka kwa Ottoman Empire 1919 na kuna ethnic battles zilipiganwa baina ya jews and Arabs tangu 1919 jews wakisaidiwa na UK. Hata 1947 mwanzo wa Zionism movement ni USA na Uk.
2. Jina Palestine yenyewe ni jina iliotokana na the ancient philistines and way later the greek renamed the region Syria Philistine.. the letter ‘P’ haipatikani katika Arabic alphabet - the only way arabs settled in palestine is because of the Islamic conquest- they moved around spreading islam.
but then Jews existed way before Islam started.
Ona huyu jinga. Philistine inatamkwa Filisti kimatamshi. ni kama wazungu Makkah wanasem mecca. Hizo ni masuala ya lugha na misamiati kiarabu wanayo herufi Faau na wanatamka Filistwin. wafilisti walikuwepo enzi na enzi zamani sana kabla hata ya spread of Islamic religion. Pale Gaza kuna makanisa yenye umri zaidi ya miaka 700 Israel wameyabomoa na kuna ushahidi wa maandiko ya biblia za kiarabu za mamia ya miaka.Hujui historia wewe.
3. English is the most spoken language in the world by non natives. followed by spanish, french, Arabic is the 4th most spoken language by non natives on earth. We both know how those languages spread. Please Remind me How many people speak Hebrew again?
Logically speaking who is the real colonizer here
Ndio shida ya Kenyans elimu hamuna mnajifanya wajuaji.
Hoja yako dhaifu tena.Huna uloliongea hapa. Middle east ni ukanda ambao unashikiliwa na jamii kuu ya waarabu na waarabu middle east ni chimbuko lao. Aya tueleze wayahudi walikua wapi kabla ya 1948!??
 
Back
Top Bottom