REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Kwenye kuingiza siasa naungana na wewe na limeharibu pakibwa sana to a point hata maudhurio kwa timu na just ended CHAN hayakuwa mazuri.Hao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwa
However, stars chini ya Mzanzibure kabisa, Hemed Morocco, ilikuwa hovyo mno. Ingawa Miguel Gamondi kachukua timu weeks ago ni bora kuliko Morocco.
Facts: Nigeria in the last 6 matches hajawahi kufunga 4 goals in 90mnts. Na imeruhusu at least 1 goal kila mechi.