REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Kwenye kuingiza siasa naungana na wewe na limeharibu pakibwa sana to a point hata maudhurio kwa timu na just ended CHAN hayakuwa mazuri.Hao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwa
Viwanja vyenu mlivyo karabati na kujenga vipya vyote viko Nairobi??
Ligi yenu ni mbovu na haina hela. Mara baada ya AFCON hivyo viwanja vitakuwa mzigo mkubwa kwa your broke government.
Hii ni Kisirani imemea majani ya mbuzi?
Back to default setting 😄😄😄
Utashangaa wananchi watakavyoshangilia kipigo cha Stars.Sidhani kama wachezaji wana makosa, deal na mwenye makosa.
uzuri Mungu si athumaniHao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwa
hawa kila kitu solution vitaBack to default setting 😄😄😄
Ila kutakuwa na vituko na aibu. Hizi big stage zinahitaji seriousness otherwise usiingie. Mambo ya kubahatisha halafu hujiandai serious tutatia aibu.Wanigeria wenzangu tujuane kabisa kabla ya 20:30 hii leo huko morocco
These nikkas Believe that an ordinary Kenyan doesn't own land. I don't know who fed this crap in their headsBongolalalas will never comprehend the Kenyan culture of land ownership. It’s like a sacred experience.
Napenda mnavyojifariji.Olympic standards maneno! Pale Ukunduni wanaiga global giant football clubs ngoja tuone Talanta kama ita-survive!
Anza na Mabibo na Keko tuone aerial viewsHivi tukuoneshe hayo maeneo sasa hivi kwa ground yapoje!?
Construction Kila mahali? Hapa tunatumia evidence. Show me construction projects going on in those areas I mentionedHayo maeneo unayoyataja yanarekebishwa kila leo na kuna construction kila mahala.
You don't need to remind us that dar is unplanned; everyone here knows that. Hebu show us those proper houses found in those unplanned areasPia utofauti wa TZ na Kenya ni moja.
Dar ni mji ambao haujapangika hilo lipo wazi,ila lina proper houses.
Of course we have slums. We don't thrive on denial like you do. But if I showed you some of the places ranked as slums in Nairobi, you'll be amazed. They are a million times better than your sprawling uswazi hovels. Google Githurai and Ruai; two areas listed as slums to see fo yourself.Kenya mna slums na nyumba nyingi za mabati kitu ambacho TZ haukikuti.
Yani tulichokosea Dar ni upangiliaji miji tu.
umeulizwa what size? hamjibu! Ukiwa na ka-plot halafu uongee mbele ya wanaume utachekwa!These nikkas Believe that an ordinary Kenyan doesn't own land. I don't know who fed this crap in their heads
Hayo maeneo niliyotaja (and many others that I haven't mentioned) make up more than a half of all settlements in Dar. Google Earth sio waongoWewe jamaa huwa ni mpumbavu sana
Sasa maeneo hayo uliyotaja ndio Dar nzima. Kitu kimoja naweza kuungana na wewe hayo maeneo uliyotaja ni uswazi kweli.
Hiyo inaitwa bargaining stageNapenda mnavyojifariji.
Mwanzo ilikuwa Talanta haitajengwa. Ikaja Talanta is a PPP project. Ikafata haitafanana na render. Sasa hivi eti haitasurvive!
Bongolala, how does having a running track help a stadium survive? Kindly elaborate on this