Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uje ukenue meno
see how useless your city is, modern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism... but why would i travel to attain cholera, and ofcourse i have been there before and it was because i was dating some chick there not because of anything special
 
hakuna mahali nimelaumu mwananchi, najua ni kosa la serikali kuruhusu kila mtu kujenga vibanda kiholela kila mahali.

siyo kila mahali ni pakujenga kila kibanda, dar ina square km >1500 ni nyingi sana lkn hakuna hakuna park ya watu kupumzika, viwanja vya michezo vya watoto na vijana vyote vimejengwa vibanda, ukiangalia bird eye view ya dar unaweza kulia, ushawahi kutua dar na ndege halafu ukaangalia chini mabati kutu kila mahali, not good.

ukiingia dar unatokea nje ya nchi kwa hali ya kawaida mtu anakuwa na shauku ya kuona mji lkn kuanzia kibaha kushuka haivutii kabisa, vibanda, gereji bubu kila mahali magenge ya nyanya na mkaa just chaos, ukiangalia mabondeni kimara wamejenga kiholela no planning, mji una watu zaidi ya milioni 5 lkn hakuna highway system ya kuzunguka mji, kuna watu wanatumia masaa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku kwenye usafiri tu, not good, dar siyo mji beautiful kabisa yaani, na ukiniuliza mimi dar is a lost cause, labda tujaribu dodoma na miji mingine kwa kujifunza kutokana na makosa tuliofanya …

Ati Dar hakuna Greenery unaongea nini wewe? By the way miti pekee haitoshi kuleta hewa safi, mji wenu ni congested, industries hazipo mbali na city, magari mengi yanaendeshwa kwenye eneo dogo na ukumbuke magari yanachoma fuel then smoke inakuwa released to the atmosphere, takataka zenu mnachoma hapohapo. You produce a lot of smoke ndio maana jiji lenu lina hewa chafu ukifananisha na miji mingine ya Africa.
Dar miti ipo, na air pollution ni kiwango cha chini compared to Nairobi
View attachment 3521687
Sio nyinyi mnaiitanga Naipori kwa sababu ya misitu nyingi? 😅😅
IMG_6447.jpeg
 
see how useless your city is, modern cities have purpose! recreation, entertainment, tourism... but why would i travel to attain cholera, and ofcourse i have been there before and it was because i was dating some chick there not because of anything special
Remember two of your Presidents said that Nairobi is like London to Tanzanians.
 
Nimetuma huko juu. Fuatilia mada imeanzia wapi
Wewe umedandia usichokielewa
Ebu nionyeshe where Nairobi ranks 2nd? Your Dar is a slum is a village, hata haikuangi kwa hizi rankings, so how do you compare it with Nairobi yet data ya kwenu haiko?

 
Ebu nionyeshe where Nairobi ranks 2nd? Your Dar is a slum is a village, hata haikuangi kwa hizi rankings, so how do you compare it with Nairobi yet data ya kwenu haiko?

sasa kama Dar ni slum nairobi itakuaje?
 
Unaumwa mavi! Unaongea hivyo wakati hamna BRT system na hamna mining activities zinazohitaji trucks! How did u come to that conclusion while the largest logistics- n passengers bus companies aside tourvans companies r in Tanzania ? Ati Nairobi has more cars than the rest of EA? Matatus?

Hivi Ukunduni kuna mega companies of Abood n Shabiby level?
 
Unaumwa mavi! Unaongea hivyo wakati hamna BRT system na hamna mining activities! How did u come to that conclusion while the largest logistics- n passengers bus companies aside tourvans companies r in Tanzania ? Ati Nairobi has more cars than the rest of EA? Matatus?

Hivi Ukunduni kuna mega companies of Abood n Shabiby level?
Hua munapenda sana kuropokwa yet numbers don't lie.


 
Hua munapenda sana kuropokwa yet numbers don't lie.


Kwahiyo gas tu pekee ndio inafanya muwe juu? Unajua the number of mining firms zilizo Tanzania na zile ziko eastern DRC zinazosafirisha madini? Do u even know how many major Tanzanian oil distributors r in Ukunduni?
 
Back
Top Bottom