Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabisa yaani,
Uwezo wa kuandaa AFCON wenyewe tunao kwa sababu tuna viwanja vingi na bora na infrastructure kushinda nchi zote zilizotuzunguka.
Btw after AFCON 2027 kuna viwanja vinaenda kugeuka mashamba ya mpunga. 😂😂😂
kuna mwandishi mmoja alisema ruto alikubali mapema sana kwa sababu ni mwaka wa uchaguzi, kwahio apo lazima watulie wafuatilie afcon amalizie tam yake ya 2
 
Soon

1769347329396.png
 
Back
Top Bottom