ingekua mm ndo ruto ningetafuta tu mji mwingine wa kuanza kuudevelop uendane na modern smart cities, ningeichukua mfano nakuru na kuaanza kuidevelop upya with rail, brt mnaiforce nairobi sana isiachwe nyuma but its poorly arranged
🤣 🤣 🤣Kabisa yaani,
Uwezo wa kuandaa AFCON wenyewe tunao kwa sababu tuna viwanja vingi na bora na infrastructure kushinda nchi zote zilizotuzunguka.
Btw after AFCON 2027 kuna viwanja vinaenda kugeuka mashamba ya mpunga. 😂😂😂
kuna mwandishi mmoja alisema ruto alikubali mapema sana kwa sababu ni mwaka wa uchaguzi, kwahio apo lazima watulie wafuatilie afcon amalizie tam yake ya 2Kabisa yaani,
Uwezo wa kuandaa AFCON wenyewe tunao kwa sababu tuna viwanja vingi na bora na infrastructure kushinda nchi zote zilizotuzunguka.
Btw after AFCON 2027 kuna viwanja vinaenda kugeuka mashamba ya mpunga. 😂😂😂
wazungu weusi 🤣🤣
View: https://youtu.be/oaz7oadk208?si=k-H3lxBrS5rIrWtC
View: https://youtu.be/foY58wPKtT4?si=9FguI7A82TBSL89O
View: https://youtu.be/5ksRYnVOjkI?si=ZIY3xvfB_gNjJpb7
MY TAKE
Hivi mbona tuliomba ku-partner na hizi Burukenge? tusi-host wenyewe?
modern how sasa
how much does mombasa port make compared to darWhat's special about this? Mombasa Port handles 3× what Dar is slum port does.
inshallah wasituekee tu siti kama za ngong