stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
unahesabu na barabara ambazo hazijaisha kadanganye wehu wenzako huko kibera.The longest dual carriageway currently is Nairobi -Kenol at 139km. Hizo zingine ni ndogo.
hadi uganda wana electric train
View: https://youtu.be/nwLtX6fj4HI
sasa hii mkebe inaconnect na nani?
View attachment 3536547
sasa burundi na uganda na congo wote wanatumia za umeme sasa hao sjui wataenda wapHuu mkebe utakuwa unaishia Malaba tuu wasije wakachafua mazingira ya Uganda
Ebu tuonyeshe hiyo barabara haijaisha tuone. I repeat my stance, the longest dual carriageway in East and Central Africa is currently in Kenya stretching from Nairobi to Marua, which is 139km long.unahesabu na barabara ambazo hazijaisha kadanganye wehu wenzako huko kibera.