ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Zipo wapi? 😅😅You forgot that NSSF Kenya assets and deposits are 3 times bigger than your NSSF?😂😂
What about 70% of Tanzanians living in slums?Inclusive ya Kundustan nayoijua Mimi na iliyoripotiwa ni hii hapa👇👇View attachment 3538583
No wonder you are a primary school dropout. Urban roads, rural roads and highway.Kwa hiyo city streets ndio zina urefu wa kilometers 20,000 zilizobaki? Sababu highways zenu zote hata kilometers 5000 hazifiki!
Tangu lini Tanzania Kuna slums?What about 70% of Tanzanians living in slums?
Just a quick currency conversation in these two screenshots shows that Tanzanian NSSF has assets worth 490B against Kenyan 580B.
Nenda ukaulize world Bank. I'm sure unaishi kwa slum😂😂.Tangu lini Tanzania Kuna slums?
Wewe ndio ulipima ama?Kwa hiyo city streets ndio zina urefu wa kilometers 20,000 zilizobaki? Sababu highways zenu zote hata kilometers 5000 hazifiki!
Dunia inatambua makao Makuu ya slums ni KundustanNenda ukaulize world Bank. I'm sure huko na unaishi kwa slum😂😂.
Wengi wenu huko dar is a slum si munaishi penye hakuna hata access ya barabara za magari. Mtu anamarket nyumba ya kukodisha alafu anapeana warning eti nyumba inafikiwa kwa kutumia pikipiki pekee yake. 😂 😂 😂 That's a proper slum bana.Tangu lini Tanzania Kuna slums?
Yet 70% of Tanzanians live in slums compared to 40% Kenyans.Dunia inatambua makao Makuu ya slums ni Kundustan
And they are still using pit latrines which one is shared by 10 neighbours.Wengi wenu huko dar is a slum si munaishi penye hakuna hata access ya barabara za magari. Mtu anamarket nyumba ya kukodisha alafu anapeana warning eti nyumba inafikiwa kwa kutumia pikipiki pekee yake. 😂 😂 😂 That's a proper slum bana.