stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
mliokua mnagombana kuhusu barabara, DOCUMENTARY imetoka leo 🤣 🤣 🤣
View: https://youtu.be/nvpkLoslDys
View: https://youtu.be/nvpkLoslDys
Ukiona nyang'au Teargass anavyousifia utafikiri ni zaidi ya Allianz Arena😎wydad walikua wanataka kugomea mechi naona wametumia busara tu kisa wana pointi nyingi tayar
sema hizi aibu mda wa afcon tutaonekana wote akili hatuna kumbe ni punda mmoja
mliokua mnagombana kuhusu barabara, DOCUMENTARY imetoka leo 🤣 🤣 🤣
View: https://youtu.be/nvpkLoslDys
iliendaje lamu port mbna south sudan wamekuja dar tenawalienda kujenga Lamu port huku!