It's a mythological story which we used to read at primary school level. I guess many Kenyans who did 8-4-4 know it.If you study Kenya history and myths , those mountains are the battlefield where the great Lwanda Magere used to conquer Nandi warriors since they never knew his power was in his shadow ( who knows that story)..
Kisumu has a well planned CBD, industrial area, market area and a residential area, najua hujui anything about zoning laws ju your cities are not planned, munajenga tu kama panya.net ndio Kisumu city skyline? hii ina maana hamna cha maana huko!
wacha upumbavu wewe Kisumu si level ya Mwanza kuanzia the size of the city, planning mpaka industries na mining centers mpaka ports mpaka watervessels! Mpaka public places bus/train terminals, markets, hospitals, universities n hotels mind u Kisumu haina 5 stars hotel! hata 4 star hotel hamna Kisumu! BTW hata Mwnza airport ni uzembe wa Wahusika hawajamaliza jengo na new PAX Terminal inakuja!Kisumu has a well planned CBD, industrial area, market area and a residential area, najua hujui anything about zoning laws ju your cities are not planned, munajenga tu kama panya.
ila hii skendo imefika mpaka BBC 🤣🤣🤣
kisumu hii moja yenye imepata traffic lights mwaka juzi! 😂😂😂wacha upumbavu wewe Kisumu si level ya Mwanza kuanzia the size of the city, planning mpaka industries na mining centers mpaka ports mpaka watervessels! Mpaka public places bus/train terminals, markets, hospitals, universities n hotels mind u Kisumu haina 5 stars hotel! hata 4 star hotel hamna Kisumu! BTW hata Mwnza airport ni uzembe wa Wahusika hawajamaliza jengo na new PAX Terminal inakuja!
Badala mjenge barabara ya kuelekea arusha na infrastructure zingine, upo hapa kuwashwa na ya kenyaWanajua watalipa halafu watashindwa ku-host kwahiyo kuepuka hasara hawatalipa! mark my words!
Mfano Afcon ianze usiku huu, Tanzania ina Mkapa stadium, New Amaan Stadium na Gombani Stadium.Badala mjenge barabara ya kuelekea arusha na infrastructure zingine, upo hapa kuwashwa na ya kenya
Kwa the 3 hosts nyinyi hata ndo mnaonekana kulemewa
badala msaidie wenzenu wapate chakula unawaza barabaraz a arushaBadala mjenge barabara ya kuelekea arusha na infrastructure zingine, upo hapa kuwashwa na ya kenya
Kwa the 3 hosts nyinyi hata ndo mnaonekana kulemewa
Nairobi wamechezea congo leo na bado wakalimwaMfano Afcon ianze usiku huu, Tanzania ina Mkapa stadium, New Amaan Stadium na Gombani Stadium.
Uganda wana Hoima Stadium na Namboole Stadium.
Halafu kuna ninyi ambao utadhani CHAN ilivyo isha mligeuza viwanja kuwa mashamba ya mpunga. 😂😂😂
Rugby isnt even top 20 most popular sports, table tennis is even more popular than rugby, however bado mmelimwa na mko kwenuUSA and Germany participating in a tournament held in Kenya, lini mtafika huku?