Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

there is a guy in tiktok anafanyaga live stream ya pipeline kila sku 🤣 🤣 🤣 , i think zile covid vaccine ziliwaharibu sana!
Huo mtaa una maghorofa lakini haupendezi. Ni mchafu na unaashiria umasikini 100%. Affordable houses zikikamilika zitakuwa kama Pipeline in future 😂😂
 
mtu ambae hajawahi enda kenya anaweza dhan kenya bonge la nchi
1772281554337.png
 
kuna wengine usafiri ni umeme na gesi kuna wengine gari moshi, sasa kuleni chuma icho, kesho bei ya mafuta inapanda
 
Back
Top Bottom