stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Is the Korean Strait closed? Wacha kuuliza maswali za kipumbavu.
Umesema war imechange global logistics all over the world.Unafikiria kama pumbavu. The war has changed global logistics all over the world.
Kama hii ndio akili uko nayo, we uko pabaya.Umesema war imechange global logistics all over the world.
sasa ole wenu kura isiende kwa Ruto si mnaona maeneo yashaandaliwa
View: https://x.com/ntvkenya/status/2035677443538010303?s=20
Umeficha Mathare na Kibera halafu unataka kufananisha na Ulaya. Ulaya gani unavyofikiria? Wewe kweli ni nyang'au haswa😎Si ulaya....
i think Kenya has boosted itself as democratic right?Huko kwenu miili ya wale waliouawa wakati wa maandamano mmeshapeana ikizikwe? Au ya Kenya tu ndo inakuwasha