Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The citizen yenye tv n radios only inawezaje kuwa kubwa zaidi ya NMG yenye tv, radios, fiber optic, curier businesses, news papers in 3 countries?
I said Royal Media is the biggest media house in Kenya. Usiwe mjinga, kwani Kenya is 3 countries?
 
Niumie aje na kitu hamna? This is the official Ritz-Carlton site, unatupostia umbea bila aibu.

Kwahiyo, according to you, hakuna Ritz Carlton in Serengeti sio? Endelea hivyohivyo na usingizi usije ukajikojolea tuu.
 
nachopenda kwa m7, hana shobo kwanza anaongeaga kiswahili japokua anakosea kosea ila he is African son, and also hana shida kuitwa kwenye uzinduzi ila inapokuja sasa kwenye biashara 🤣 🤣 🤣 , uzuri wafanya biashara wa uganda washahamia upande wetu
Huyo Museveni ni kijana wetu tumempika wenyewe na hapa Tz ni nyumbani kwake hivyo hatuna wasiwasi wala fitna yoyote juu ya ku win influance on UG. Ni sisi tu wenyewe ndio tumechelewesha kumiliki uchumi wa UG kwasababu ya sera mbovu zilizokuwepo hapo awali.
 
yaani ungetumia hii nguvu kurestock hizi meza ziwe ndefu, basi watu wangekaa comfortable sana
View attachment 3561704
Our MGR coaches have a better interior and seating arrangement. Reclining seats with armrests and cupholders, and a small table behind each seat.
1774331967624.png
 
The kind of media pale Ukunduni

MY TAKE
Abducted then the next day he meets a press!
 
Hakuna kitu kama 24/7 wacha kujipatia self importance haiko. Radio 47 is positioning itself to be the biggest swahili speaking radio in the region, hapa Kenya tayari washapita radio citizen na already wameanza kutake over huko bongoslum. That's what we call a business strategy.
You are just confirming what I am saying. Mnafatilia sana taarifa na channels za Kenya. The fact that huwa unaona Radio 47 TikTok is proof enough
Oneni hawa kondoo wawili. 😂😂😂
Media page zake zimejaa habari za Tanzania.
Mwanzo nilijua ni media ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom