Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mauaji ya Tanzania nimeongelea mara nyingi sana, na sijaacha kuongelea hadi leo.
Wewe huna akili, unadhani unaweza kuona kila comment nianayoandika humu JF as if utaweza kupitia JF nzima

Hiyo story ya Laikipia University ni sad coz the people affected are young and I can relate. Kuanzia reason ya protest hadi how it turned out ni sad
Mbona nyie Kenya watu wengi walifeel sad juu ya mauaji ya October 29 Tanzania, kwa nini sisi tuki feel sad wanafunzi kupigwa risasi Kenya unaumia? Au na wakenya walikuwa wanafiki?
 
Unaropokwa as if Ukunduni mlianzisha toll roads kumbuka Kigamboni bridge was the first project in EA!
 
Hii PPP ikifanyika Kenya mnasema ni mali ya Mchina. Kumbe mnamezea mate. 🤣 🤣 🤣
Tanzania hata Daraja la Kigamboni ni PPP, kati ya serikali na NSSF.

HTa hiyo barabra ya Chalinze kuwa PPP ni mali ya kila mtu, na inajengwa kwa akili, na ndio maana Contractor mwenye bei kubwa amekuwa rejected na inaamza upya.


Kenya NAIROBI expressway, imejengwa maalum kwaajili ya RICH PEOPLE wanaoishi kwenye BANANA Nairobi aka Expressway Neighbourhood, frok JKIA to Uppwerhill, Westland, etc

But, mnalipa makapuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…