Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu tueleze kivipi? Hujajua regional politics kama Nairobi bado ina-claim kuwa na room capacity kubwa kuliko Zanzibar! What makes u believe hicho unachosoma? Huo uwanja hauna airbridges! Na unapitisha PAX less than 1,1 ! Yaani hata KIA has more PAX than Kigali International airport!


View: https://youtu.be/CFH8rlUHoDk?si=_oQXWVpucMU9Fv2c

No sijasema in terms of passengers numbers, mm on my own nmesema ndan kuko so well arranged, huo uwanja ni mdogo sana hata wa Arusha mkubwa, But una hadhi ya international, so kwa standard yake mm personally nasema uko well arranged kwa ndan, very easy to navigate
 
Tanzania hata Daraja la Kigamboni ni PPP, kati ya serikali na NSSF.

HTa hiyo barabra ya Chalinze kuwa PPP ni mali ya kila mtu, na inajengwa kwa akili, na ndio maana Contractor mwenye bei kubwa amekuwa rejected na inaamza upya.


Kenya NAIROBI expressway, imejengwa maalum kwaajili ya RICH PEOPLE wanaoishi kwenye BANANA Nairobi aka Expressway Neighbourhood, frok JKIA to Uppwerhill, Westland, etc

But, mnalipa makapuku
Kwa hivo wewe ukilipia daraja la kigamboni unakuwa maskini ila mimi nikilipia expressway nakuwa tajiri? Akili za kibongolala vaane.
 

1774552752395.png


1774552765163.png


1774552775754.png


1774552786417.png
 
Back
Top Bottom