Uganda nao wana vipengele kuna barua yao apo juu nmeiwekaSo amahoro itaanda match 3 hadi 4 kwa siku π,hii afcon tunaanda peke yetu labda na uganda maana tayari wana viwanja 2
Ila naiona Rwanda ikienda kuombwa kushiriki! Wakundustani ati wanadai bila wao Afcon haiwezekani!
hawa mbwa ukiwafuatilia wanaweza kukutoa mstarini! hawana uwajibikaji kabsaaa! Ndio maana Museveni hucheza koote!Ni kama kila mtu saaahv anajipigia
View: https://x.com/fuegoshawrry777/status/2037101130564444170?s=20