chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Mwanza
Kondoo ni yule anayesherehekea ushindi dhiti ya kiweteYes tunasherekea kwa sababu ushindi unaongeza points za FIFA ranking.
Ama hujui sababu ya haya mashindano kondoo wewe.
Achana na mambo ya mpira kondoo wewe.
Dealing with bongolalas require some level of patience. Kijana wa Tandale, mlisema ripoti iliyotolewa only mentioned Kenya and Uganda and that Tanzania was never mentioned. Mkiulizwa mlete hiyo ripoti unakuja na insha isiyoeleweka and off topic.Wewe ni mpumbavu!
Hakuna Stadium in Kenya or Uganda yenye ubora wa CAF na mechi zenu za kimataifa mnachezea Malawi.
Susi tunavyo vitatu: Azam, Aman, Mkapa.
Sasa wataflag vipi viwanja vyetu ambavyotayari vimeshapitishwa?
Hizi ni figisu za Kenya kuandika upya na kutujumuisha kwenye ujinga wenu.
Mie sijui lakini google wanajua. Waulize wao watakuambia ilikuwaje😎70k while capacity ni 60k! Hao 10k walibebana kwa mabega?