Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulisha discuss humu hii article haihusishi Zanzibar yenye hotels room zaidi ya any city in EA!

Logic nzima ya SGR ndo hii, however wafanya biashara ndo wanampressure m7 atumie route ya tanzania, si unaona kama leo bei za mafuta zishapanda, amna mtu anataka kufanya biashara kichaa unaamka bei imepanda

1775114481288.png
 
Huwezi ukaiona Kenya hapa:
View attachment 3566124
na waliobeba mara ya mwisho si mwingine bali ni........

Yaani lazima ni 5 years tubebe AFCON kubwa
 
Saa hii hautasikia story za FIFA ranking tena 🤣🤣🤣
they were just friendly matches na timu zenyewe si umeziona za mwisho kabisa ukoo, meanwhile Tanzania kabeba AFCON under 15 last year
 
they were just friendly matches na timu zenyewe si umeziona za mwisho kabisa ukoo, meanwhile Tanzania kabeba AFCON under 15 last year
Kujeni muone excuses galore zishaanza from footballing nation 🤣🤣🤣🤣
 
  • Dollar millionaires ni uongo, ni statistics za kutengeneza.
  • Entertainment capital ni uongo pia, watu wenu hata kwenye mechi za mpira hawaudhurii. Mnaandamana na kuuawa kwa unga tu.
  • heartbeat?? Ni uongo pia, moyo utafanya kazi vipi bila chakula, nchi ambayo a decent meal a day ni changamoto kwa kila mtu.?
Sawa sawa nyamwezi. Endelea kuugua pole. Mbona hizo story za statistics za kuundwa ni wimbo tumezoea sasa, especially when it places Kenya ahead of Tanganyika?
 
Back
Top Bottom