Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

there is another business created involving tanzania, congo and uganda alone about minerals, congo gives it to uganda to refine tanzania transports it
Na hiyo rail connection from TZ to UG ita facilitate sana biashara pande hizo
 
Ranking ya FIFA is determined by the performance of senior national team, siyo performance ya junior team. Sasa nani mpumbavu nyamwezi?
Bana, hapa hua tunadeal na mafala, niliona mwingine jana anaongelea domestic tourism lakini bado anataja JKIA na Serengeti.
 
And whatever happened back then is history which we have the freedom to talk about ( that’s how you are able to know) ..Yet people were massively killed during your recent elections. Can you dare mention about it here?..No you can’t because some CCM agents would pay you a visit. The fact that you don’t see the difference between Kenya and Bongo in such issues could only be blind patriotism. 😆
History ipi? Si last 3 days mmetoka kumtumia MP goons wamemua? au unadhan we are blind, si juzi mmetoka kwenye mass graves leave alone the poor childrens in church, pathetic
 
Uwanja wa Real Madrid has computerized hydraulic tension cable roof-lifting system. The only difference is that it has what's called a retractable roof, something that Talanta doesn't. Enyewe wewe nyamwezi ni desperate and ignorant at the same time!

Santiago Bernabéu (Spain), Allegiant Stadium (USA), Volgograd Arena (Russia), Singapore National Stadium, and Talanta stadium are the only stadiums in the world with this technology

Allegiant Stadium
You can clearly see the hydraulic cables (with yellow colour) placed on top ready for installation. View attachment 3569967View attachment 3569968

Volgograd Arena
View attachment 3569973View attachment 3569974
Unajua wewe ni fala, Hydraulic uliweka ili uzuie mbati yasipate kutu
 
Uwanja wa Real Madrid has computerized hydraulic tension cable roof-lifting system. The only difference is that it has what's called a retractable roof, something that Talanta doesn't. Enyewe wewe nyamwezi ni desperate and ignorant at the same time!

Santiago Bernabéu (Spain), Allegiant Stadium (USA), Volgograd Arena (Russia), Singapore National Stadium, and Talanta stadium are the only stadiums in the world with this technology

Allegiant Stadium
You can clearly see the hydraulic cables (with yellow colour) placed on top ready for installation. View attachment 3569967View attachment 3569968

Volgograd Arena
View attachment 3569973View attachment 3569974
hivi hili litoto linajielewa kwel, 🤣🤣, ebu tuelezee why do stadiums have hydraulic systems on the roof kwanza tusiwe tukawa tunaongea na kichaa, yenyewe wewe ni mbishi mpaka chatgpt kanyanyua mikono
 
Yaani imagine wewe ni nchi ya uchumi mkubwa una port, mafuta yote yanapita kwako bado ukaombe mafuta kwa uchumi mdogo huko inland hii ni maajabu sana. inamaana storage facilities za kutosha hamna au fiscal space ya kuagiza mafuta ya kutosha ndio shida unangoja KRA akusanye ndio ufanye payment kama ya AFCON 2027
Unamuomba Mafuta unaetaka kumsafirishia mizigo yake kwa mafuta 🤣🤣🤣
nchi ya mafala si unaona yenyewe wakina Nicxie walivo mafala ndo ivo ivo wengine wapo
 
Kwani unadhani 14 billion in forex reserves ni za nini?
the fact that your currency is over valued should just tell you that your country has the lowest foreign reserve in the region, infact ni last year tu walitangaza hazina imekaukiwa your citizens wakawa wanaruka boda kutafuta usd, huezi kua na strong currency na ukawa na foreign reserve, a strong currency means exports are low, when exports are high automatically your currrency has to be low since foreign reserve ndo zinazunguka zaidi benki kuu

Also it becomes easy for another country to buy anything inside tz, likewise to uganda, thats why tz and uganda paid AFCON so fast meanwhile kenya had to create EUROBOND 🤣🤣
 
Key points based on your own screenshot and I quote:

1. "the stadium does use hydraulic technology"

Hili umepinga na nguvu zako zote. Hii inaitwa shooting oneself in the foot

2. "It uses a computerized hydraulic cable system"

Ni mara ngapi umeuliza hapa eti hiyo hydraulic system iko wapi Talanta? So unaona unavyojikaanga na mafuta yako mwenyewe?

3. "However, the final design is not a hydraulic or retractable roof"

Aren't you the same person who a few hours ago compared Talanta stadium to Santiago Bernabeu that has a retractable roof? Desperation!!

4. "The plan for a retractable (movable) roof was dropped"

If you know this, why do you keep asking or even comparing it with stadiums that have retractable roofs?

Sasa si unaona ulivyo mjinga?

hili fala sjui tunalisaidiaje, AU tuliache kama lilivo 🤣 🤣 🤣
1775752895960.png

Kuna uwanja hautumii hydraulic during construction? ulidhan zile roof za uwanja zinatupiwaga tu pale kama jiwe 🤣🤣🤣 we will be calling you a big from now onwards unabishana mpaka na AI
 
Key points based on your own screenshot and I quote:

1. "the stadium does use hydraulic technology"

Hili umepinga na nguvu zako zote. Hii inaitwa shooting oneself in the foot

2. "It uses a computerized hydraulic cable system"

Ni mara ngapi umeuliza hapa eti hiyo hydraulic system iko wapi Talanta? So unaona unavyojikaanga na mafuta yako mwenyewe?

3. "However, the final design is not a hydraulic or retractable roof"

Aren't you the same person who a few hours ago compared Talanta stadium to Santiago Bernabeu that has a retractable roof? Desperation!!

4. "The plan for a retractable (movable) roof was dropped"

If you know this, why do you keep asking or even comparing it with stadiums that have retractable roofs?

Sasa si unaona ulivyo mjinga?
tufanye kama sisi hatuna akili 🤣🤣🤣, ungesearch mapema usingekutwa na hii AIBU haya hydraulic gan inatumika uwanjan maaana sisi tukiongea tunaonekana hatujui sports, una kingine?

1775753266366.png
 
Kwani unadhani 14 billion in forex reserves ni za nini?
Mikopo
A large share of Kenya’s reserves is debt- and remittance-supported, not export-driven. This has two consequences:
It provides short-term stability for the Kenyan shilling
But creates long-term pressure if external debt repayments rise or inflows weaken
 
Back
Top Bottom