President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hiyo ni Imani ya wakenyaJu Trump ndio president wa nchi zote za dunia ama?
Hiyo ni Imani ya wakenyaJu Trump ndio president wa nchi zote za dunia ama?
Pole sana, in fact it's under valued, it should be trading at 118 against the dollar.Are talking about that over valued currency which is constantly being managed?
hata ikiwa 10 lines za LED adverts! ukitoka nje flying toilets kila kona! enough adverts!
Kwanini tusiuze kabisa nchi kwa Waarabu, Wachina, Wazungu ili wajenge mijengo mirefu yenye LED lights ili tuwe tunapigia oicha tunatamba??Sasa wauweke hiyo milima under protection na si kuachia wasukuma wa Mwanza kuanza kujenga vijumba vimepandana!
Kwanini tusiuze kabisa nchi kwa Waarabu, Wachina, Wazungu ili wajenge mijengo mirefu yenye LED lights ili tuwe tunapigia oicha tunatamba??
Maana vijumba vya wasukuma vya kimasikini vinakera.
Kwanza haijalishi nchi yetu itayumba kiasi gani, au itakuwa masikini kiasi gani, haijalishi hata kama tutafikia hatua mhaya kabisa yani maji yametukwama kooni, hakuna kuuza nchi kwa mwarabu, mchina wala mtu yoyote. Tanzania itabaki mali ya MtanzaniaKwanini tusiuze kabisa nchi kwa Waarabu, Wachina, Wazungu ili wajenge mijengo mirefu yenye LED lights ili tuwe tunapigia oicha tunatamba??
Maana vijumba vya wasukuma vya kimasikini vinakera.
Nimemjibu kwa sarcasm.Kwanza haijalishi nchi yetu itayumba kiasi gani, au itakuwa masikini kiasi gani, haijalishi hata kama tutafikia hatua mhaya kabisa yani maji yametukwama kooni, hakuna kuuza nchi kwa mwarabu, mchina wala mtu yoyote. Tanzania itabaki mali ya Mtanzania
Kingine kitu ambacho wengi hawajui, almost 99% ya nyumba mbaya Tanzania zilijengwa zamani sana wakati Tanzania ni masikini kupindukia. Sasahivi nadra kukuta mtu anajenga nyumba mbaya. Almost kila nyumba mpya ni standard au nzuri kabisa, tatizo la Tanzania kwenye ujenzi ni mpangomji, hatujengi kwa mpangilio mzuri
Pia hilo eneo la uwanja wa Arusha wasiruhusu ujenzi holela, kama wana plan ya Safari City kuijenga hapo kwa kufuata Master plan sio mbaya, ila kama hakuna ulazima wapaache tu. Panapendeza sana na uoto wa asili by the way. Wakijaza nyumba hapo uzuri utapungua, labda wawe very strict kuhakikisha wanafuata mpango mji
ushawahi kuona probox ina plastic seatsYou're building three Toyota proboxes, we are building a single Land Rover Range Rover Vogue. We're different bruh.