Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 supporting infrastructure yenyewe sasa
View attachment 3572428
Utaumia sana Nyamwezi
Screenshot_20241018-172316_043913.png
 
uwanja umepitia mengi sasa imebidi AI itumike 🤣 , milio haijatosha na tuliwaambia huu uwanja ukikaribia kuisha kuna watu watazimia uku
Mlisema ukikaribia kuisha ama mlisema haitajengwa?!
Talanta iko wapi zaidi ya render😂😂😂
Dodoma kuna uwanja unajengwa wa 30,000 na Arusha same 30,000 , kila kitu kinajengwa Nairobi tanueni wigo nje ya Nairobi

Talanta tortoise shell stadium iko wapi?
 
yes this is the EXACTLY ONE, cha ajabu sasa niliambiwa inaitwa LONDON BRIDGE nlichoka 🤣 🤣
and whats even funny, citizens wa kibera hawaitwi CITIZENS wana jina lao wanaitana ZOMBIES
Wewe Nyamwezi sema tu unatamani kutia guu lako chafu Nairobi 😂😂
 
Back
Top Bottom