Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uwanja umepitia mengi sasa imebidi AI itumike 🀣 , milio haijatosha na tuliwaambia huu uwanja ukikaribia kuisha kuna watu watazimia uku
Mlisema ukikaribia kuisha ama mlisema haitajengwa?!
Talanta iko wapi zaidi ya renderπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dodoma kuna uwanja unajengwa wa 30,000 na Arusha same 30,000 , kila kitu kinajengwa Nairobi tanueni wigo nje ya Nairobi

Talanta tortoise shell stadium iko wapi?
 
You might even be suprised but at one time kuna sehem nlipita ndan ya KIBERA na kuna sehem ina jina la LONDON BRIDGE, i think ni kwa uku mwanzo ivi kuna sehem nlionyeshwa panaitwa kabisa LONDON BRIDGE
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yes this is the EXACTLY ONE, cha ajabu sasa niliambiwa inaitwa LONDON BRIDGE nlichoka 🀣 🀣
and whats even funny, citizens wa kibera hawaitwi CITIZENS wana jina lao wanaitana ZOMBIES
Wewe Nyamwezi sema tu unatamani kutia guu lako chafu Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…