stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
2 stadiums zipi za kenya sasa? AFCON washasema hawana uwanja wowote unafaaaAfter 2027.. mataifa yatakayokuwa na idadi kubwa ya viwanja Vya mpira vya kisasa in the region itakua kama ifuatavyo.
1. Tz 6 stadiums
2.UG 3 stadiums
3. Kenya 2 stadiums.