ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ni ngumu TRC kununua Trucks. Itakuwa nje ya malengo yaoHuu ndo muda wa trc wangejiongeza ilitakiwa waweagiza trucks za lng kwa ajili ya kutoa mzigo isaka kwenda Kampala na treni ya mizigo ianze shushia makutupora wafanye transfer kwenda mgr
Kuna umuhimu shirika lijiendeshe kibiashara , tuachane na mentality za kusema haiwezekaniNi ngumu TRC kununua Trucks. Itajuwa nje ya malengo yao
Hizo zote ni vibanda except Makwapa.
- Benjamin Mkapa stadium
- New Amaan stadium
- Azam Complex
- General Isamuhyo Stadium
- Tanzanite Kwaraa stadium
- Mkwakwani Stadium
- CCM Kirumba stadium
- Airtel Stadium Black Stars
- Gombani Stadium
- KMC Comolex
Upcomingπ
- Arusha Stadium
- Dodoma Stadium
- Fumba stadium
Underratedπ
- Nyamagana stadium
- Tuliani stadium
Zuzu kwenye ubora wake ππKelele za sijui CAF, sisi tunatambua FIFA bana, CAF ni wa nchi ndogo ndogo kama bongoslum. π π π
View: https://x.com/ntvkenya/status/2044460032516030677?s=20
we have at least three technical centers in Tanzania!Kelele za sijui CAF, sisi tunatambua FIFA bana, CAF ni wa nchi ndogo ndogo kama bongoslum. π π π
View: https://x.com/ntvkenya/status/2044460032516030677?s=20
Lengo la reli ni kusafirisha mzigo kwa reli na kupunguza foleni na maroli barabarani kwa gharama nafuu.Kuna umuhimu shirika lijiendeshe kibiashara , tuachane na mentality za kusema haiwezekani
Let's compare your monthly passengers with Kenyan monthly passengers.Jaribu hata kufikiria, within 24 months it has carried 5.512mil or monthly average carriage 229,000 passengers compared to kenya which achieved 7.78 mil passengers after 60months with monthly average 129,000 ,half the Tanzanian sgr.
NB: Goods aren't included
ndo pla iliopo ila yenyewe inavotakiwa kua ni kuna kituo kipo apo katikatik wamepewa congo wenyewe, alafu kuna burundi nao, rwanda, zambia ndo wanataka sasa hawa wengine nao wapate bandari kavu ya pamojaHuu ndo muda wa trc wangejiongeza ilitakiwa waweagiza trucks za lng kwa ajili ya kutoa mzigo isaka kwenda Kampala na treni ya mizigo ianze shushia makutupora wafanye transfer kwenda mgr