stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Wale mbwa wa kujitamba wanauwezo wa kupanda SGR, haya Dar-Dodoma over 5.51 mln PAX more than Ukunduni's SGR in fewer years!
View: https://www.instagram.com/reel/DXKEBE5iX5J/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Hapo haijafika Mwanza na Kigoma!
Vingine aibu, mnaonyesha ubavuni tu

Jaribu hata kufikiria, within 24 months it has carried 5.512mil or monthly average carriage 229,000 passengers compared to kenya which achieved 7.78 mil passengers after 60months with monthly average 129,000 ,half the Tanzanian sgr.😂 Ok how does this work? which year did Tanzania sgr do more number than Kenya sgr?
hujui kusoma nyoko wewe 2024 n 2025 SGR TZ has transported more PAX than Ukunduni!😂 Ok how does this work? which year did Tanzania sgr do more number than Kenya sgr ever?
What's Kenyans numbers from the same period
Na hata hiyo 2024 treni ya Dodoma ilianza mwezi augusthujui kusoma nyoko wewe 2024 n 2025 SGR TZ has transported more PAX than Ukunduni!
Revenue ni ngapi?hujui kusoma nyoko wewe 2024 n 2025 SGR TZ has transported more PAX than Ukunduni!
Tanzania inajenga Viwanda Kundustan wanajenga fremu za maduka 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DXJvfG6DDcs/?igsh=Mmg4Yng0cm02eGJt
Hizo stori zilikuwa za miaka hiyo wakati miundombinu ya umeme na Barabara haijafika ila Kwa Sasa mambo ni 🔥 🔥 🔥Halafu kigoma si Ile mikoa ambayo ndo the least developed ,yaan hii ni kama kulinganisha na wajir ila wajir hata zile mashine za posho mill hawana,🤣🤣🤣
Rukwa itakuwa ni moto mwingine, hiyo mikoa wanalima ila baada ya muda mahindi Bora hata dar🤣🤣🤣Hizo stori zilikuwa za miaka hiyo wakati miundombinu ya umeme na Barabara haijafika ila Kwa Sasa mambo ni 🔥 🔥 🔥
Bado Mikoa isiyozidi 4 kupata umeme mkubwa wa kusapoti Viwanda vikubwa.
Mwaka huu wanazima kitambo yadizeli Rukwa na kuwasha umeme wa gridi ya Tiafa wa kv 400
Hakuna mtu ambae Kwa Sasa anahama Mkoani kwenda Dar au kutoka Vijijini kwenda mjini Kwa sababu kila sehemu Kuna fursa umeme upo,maji yapo na Barabara zipo.Rukwa itakuwa ni moto mwingine, hiyo mikoa wanalima ila baada ya muda mahindi Bora hata dar🤣🤣🤣