stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
ungemalizia post vizuriUpper Middle Income we are coming.
![]()
Kenya ni Jurassic Park 😂 😂
hii wiki itakua na vituko sana 🤣Kenya ni Jurassic Park 😂 😂
Mmetuzidi malls zipi labda niulize. 😂😂😂 hii tz sio ya 2017 budaa.Sasa kama malls ndio tumewazidi, sasa supermarkets za aina hii ndio watatuweza?
You should phrase the question the way a Bongolala will understand… 😁😁 “ Kati ya wewe na Rais Suluhu nani anajua zaidi ?”… 🤣🤣
Hata Uganda imewazidi kwa malls. Malls in Tanzania hata hazifiki kumi.Mmetuzidi malls zipi labda niulize. 😂😂😂 hii tz sio ya 2017 budaa.
Alafu kuna kichaa that is laughing at Kenya. The guy hata pikipiki hana so trends za mafuta kwao hawezijua.