Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
How does this relate with GDP? Do you know the number of world tournaments we have hosted before?🤣🤣
Mnaenda kuhost ya Kwanza sasa hatutapumzika.
Fake GDP mpo? 👇👇How does this relate with GDP? Do you know the number of world tournaments we have hosted before?🤣🤣
Mnaenda kuhost ya Kwanza sasa hatutapumzika.
Hivi vitu vinatesa sana majiraniSasa unataka tukojoe?
Fake GDP mpo?Unafurahia loan?😂😂🤣
Tofauti ni nini?Hiyo mitungi yenu inaunganisha Miji yenu mikuu ya Uchumi,ya kwetu Bado haijatoboa Mwanza.
Ikotoboa ndio uje kujifariji.
Washington DC ni Capital City ila sio Commercial City.Tofauti ni nini?
Both are connecting capital city to secondary city. Sasa mbona unalalamika?😂😂🤣
Hata Sisi bado hatujatoboa Kisumu.
Luanda City is one of the dead city in Africa just like Dar. Their skyline never changes.Luanda city saa hii ni ya moto balaa angalia skyline ya CBD yao. This one is indeed world class. View attachment 3573926
In Tanzamia miji yetu kimaendeleo iko hivi..Tofauti ni nini?
Both are connecting capital city to secondary city. Sasa mbona unalalamika?😂😂🤣
Hata Sisi bado hatujatoboa Kisumu.
Washington DC ni Capital City ila sio Commercial City.
Subiria ya kwetu ifike kwenye Second Commercial City ndio uje kujifariji,mwaani sio mbali.
EAC big brother 👇👇
View: https://x.com/i/status/2044489257574608900
Mnatukimbiza yet our 1 year traffic is equal to your 2 yrs traffic?🤣🤣😂In Tanzamia miji yetu kimaendeleo iko hivi..
1. Dar
2. Mwanza
3. Arusha
You know what, reli yetu haikutanishi hizi miji na bado tunawakimbiza mbaya.
Unaizungumzia Luanda ipi.? Nairobi CBD inaweza shindana na skyline ya Luanda kweli.? 😂😂😂 hebu ficha utaahira wakoLuanda City is one of the dead city in Africa just like Dar. Their skyline never changes.
They had a construction boom once na hivo ndio waliishiwa.
Kisumu ni Kijiji has zero significance.Reli yenu mbovu imeshamaliza kazi yake ya kukutanisha your main commercial Cities,yetu Bado.Kwani unadhani ya Kenya ndio haitafika Kisumu? Kisumu -Nairobi will command more traffic than Nairobi -Mombasa.
Saa hii mnahemeshwa na Mombasa, sijui kama Kisumu mtawezana nayo😂😂😂
Leta data acha kuongea sana.Mnatukimbiza yet our 1 year traffic is equal to your 2 yrs traffic?🤣🤣😂