Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Wewe fala Dar ni China ndogo, na hizo biashara za nguo sijui viatu ni biashara za kila kijana hapa Bongo, no need of international brands.. akina jux sahii wame take over Africa.. ever heared of African boy brand.? 😂😂😂 sisi ni China kaka.Mbona kuna LC Waikiki in Dar na Mwanza hakuna? Ndio maana nakuambia Mwanza ni kijiji.😂😂😂