stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
alafu vp mbna hatuskii Talanta itawekwa Goal line tech pamoja na VAR?Endelea kulia but that's the truth of the matter. Nyinyi mtahost group stage matches pekee😂😂🤣
alafu vp mbna hatuskii Talanta itawekwa Goal line tech pamoja na VAR?Endelea kulia but that's the truth of the matter. Nyinyi mtahost group stage matches pekee😂😂🤣
You don't have a stadium that can host AFCON opening and Closing stage 😂😂kwa sababu BID mliweka nyie sio
So since 2022 hadi 2026 mshatoa hizo slums zote?🤣🤣😂👇👇
Talanta will all those. Ama kuna mwenye amekuambia hazitakuwa nazo?sema walai? 🤣 🤣 🤣 alafu mbna hatuskii kwamba Talanta itakua na Goal line tech na VAR? ama hamzitaki tena
View attachment 3574151
View attachment 3574152
Have Tanzania ever hosted any World Sport Tournament before? Kenya has so usitupigie kelele ya hamtawaifanya Hadi siku dunia itaisha.Yaani CHAN kenya ilikua kama World cup 🤣
eti Teargass hamtaki Talanta iwe na vitu kama ivi
View: https://youtu.be/mtQY-OMUABo
View: https://www.youtube.com/watch?v=i8bn5juF-j8&pp=ygUQYXphbSBjb21wbGV4IHZhcg%3D%3D
sisi hao? 🤣 kuna uwezekano wewe ni kichaaYou don't have a stadium that can host AFCON opening and Closing stage 😂😂
kwahio Talanta itakua na VAR sio? na Goal line Tech si ndio?VAR kwa Van? Ngojeni muone VAR technology ya Talanta Stadium ndio mjue hizo zenu ni vichekesho.
arent you aware miss world is currently in tz? BTW what has kenya ever hosted?Have Tanzania ever hosted any World Sport Tournament before? Kenya has so usitupigie kelele ya hamtawaifanya Hadi siku dunia itaisha.
Is that a Sport?🤣🤣😂arent you aware miss world is currently in tz? BTW what has kenya ever hosted?
Hapana ni religionIs that a Sport?🤣🤣😂
so what has kenya hosted in terms of global eventsIs that a Sport?🤣🤣😂
lets bet in CASH that talanta will ever have VAR, i dont mean zile za CAF wanazo kuja nazo alafu wanaondoka nazo after the event, i mean in STADIUM VAR kama hio ya Azam na mkapa, lets BEt in CASH if TALANTA WILL EVER HAVE VARTalanta will all those. Ama kuna mwenye amekuambia hazitakuwa nazo?