stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
yaani AFCON wasipopiga drone shots za kabla ya mechi tutaandamana, tunataka the whole Africa to know how modern stadiums are supposed to be builtMambo moto
View attachment 3574899
yaani AFCON wasipopiga drone shots za kabla ya mechi tutaandamana, tunataka the whole Africa to know how modern stadiums are supposed to be builtMambo moto
View attachment 3574899
we mwanza si wamewekewa hiziHiyo wametoa Leo tu watu hawajajua ila kufikia jion hutapata ticketi kuanzia kesho mpaka jumatatu, si unajua watu wa mwanza siku hizi wanapandia Dom .
Anatoka na sgr ya asubuhi saa tatu yuko Dom, akipanda mwanza saa moja jion
znzuwanja wa wap tena huu, mji ushakua na viwanja kila kona
Tukikaza kwa mwendo huu huu, kwa miaka 10-15 mfululizo, tutakuwa mbali.Mnakumbuka yule kondoo tulivyomuambia Tanzania kuna brand zaidi ya kumi zinatengeneza Tv akawa anabisha!
View attachment 3574803
project gani?we mwanza si wamewekewa hizi
View attachment 3574901
View attachment 3574903
na ile project yao ya haya mabasi ianze sasa
View attachment 3574902
kuna phase imekua proposed yatumike hayo magari ya double deck mda kidogo ila sjaona kama bado wameanzaproject gani?
Unakatwa ww sio bureSo you expect a 20k seater Stadium to defeat a 60k seater Stadium? Ndio maana wewe ni chokoraa.
View: https://youtu.be/xFumCfzzrX0?si=jjUwyqZ3f5nkN6MI
MY TAKE
Watu wa kuongea nao kama peers mambo ya SGR! Na si watu wa wagons za kuvutwa na punda!