Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Kunyan watuletee fish market yao 😀😀
Mnakuanga washamba Sana. This is Homa Bay fish market.Kunyan watuletee fish market yao 😀😀
Ocean Galleria Mall U/C - Masaki 🔥
View attachment 3576483
View attachment 3576486
View attachment 3576488
View attachment 3576496
View: https://youtu.be/uGmw666zvTg?si=MIyOwhyAFX1aG4lI
Jirani ashaanza kupanic huko (Land Reclamation) ndani ya Masaki 😁😁😁
bado mmeumia tu na skybox? nkajua poison itakua imeisha after a day kumbe bado kuna milio ya skyboxndio hawa Stakehigh na chokora boy walipomuona Isaac Mwaura kwa mtandao ..🤣🤣🤣
View attachment 3576497View attachment 3576498
hahah mbna tunawatreat pole pole tukiwaamulia apa wote wanakimbiaWe nae unashindwa kuwaelewa hao was nge,hapo washapata hoja ya kuongea humu toka juzi ni sky boxes,hapo hata wiki itakua mada ni hiyo,hao wehu hawana akili zile nyumba za bati walizokulia zimeondoka na uelewa wao
Acha kutamani Kitu hamtakuwa nayo🤣🤣😂🤣.
milio ishaanza, picha moja milio mingiAcha kutamani Kitu haitakuwa nayo🤣🤣😂🤣.
Yani Talanta Stadium imewapea baridi ya Skybox Hadi mnalazimisha stadiums zenu zikuwe nazo😂😂🤣😁