Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nae unashindwa kuwaelewa hao was nge,hapo washapata hoja ya kuongea humu toka juzi ni sky boxes,hapo hata wiki itakua mada ni hiyo,hao wehu hawana akili zile nyumba za bati walizokulia zimeondoka na uelewa wao
hahah mbna tunawatreat pole pole tukiwaamulia apa wote wanakimbia
 
Acha kutamani Kitu haitakuwa nayoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Yani Talanta Stadium imewapea baridi ya Skybox Hadi mnalazimisha stadiums zenu zikuwe nazoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜
milio ishaanza, picha moja milio mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…