Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SKYBOX inatakiwa iwe nje ya ujenzi sio Ndan
Ebu niambie nje ya ujenzi utaweka TV wapi?🤣🤣😂🤣👇👇

1000249278.jpg
 
Hospitality seating area ndio kuna fala anaita Skybox 🤣😂🤣👇👇👇

By the way almost every Stadium has this kind of area, lakini Skyboxes hapa East Africa is only available at Talanta Stadium🤣🤣
1000249280.jpg
 
China stadiums!

View: https://youtu.be/jqVz4Rwh6K8?si=EshlKQVBgv3ymhgr

MY TAKE
Kuna mbwa wanatumia $1.4 bln kujenga stadium n yet itakuwa na none of the qualities possesed by chinese stadiums! No wonder Kasongo anatema nyongo na kuamua kuikandia Tanzania maswala ya barabara baada ya kushindwa kujieleza gharama ya mafuta! Maana anajua ataulizwa by the time uwanja unakamilika why hamna cha maana Talanta kuelezea gharama ya ujenzi!
 
Back
Top Bottom