stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
take some time to heal, tonigh tuna agenda ya lightings za talanta mpaka mseme huo uwanja ni modern east africa ganNdani ya Mkapa skybox? …🤣🤣🤣🤣🤣
Skyboxes za opeque wall?😂😂🤣kumbuka ni level mbili hizo juu media chini skyboxes!
Ni maandalizi tu bado kdg, t3 capacity yake bado haijafikiwa. Kumaintain terminal building na facility zake sio mchezo ni gharama kubwa, project iliyokuwa karibu karibu ni hotel mpango itumike wkt wa AFCON, maybeNimesikia JNIA Terminal 4 kujengwa
Nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa ATCL anasema Terminal 4 ni kwaajili ya Air Tanzania tu.Ni maandalizi tu bado kdg, t3 capacity yake bado haijafikiwa. Kumaintain terminal building na facility zake sio mchezo ni gharama kubwa, project iliyokuwa karibu karibu ni hotel mpango itumike wkt wa AFCON, maybe