Ndani ya Mkapa skybox? …🤣🤣🤣🤣🤣
take some time to heal, tonigh tuna agenda ya lightings za talanta mpaka mseme huo uwanja ni modern east africa ganNdani ya Mkapa skybox? …🤣🤣🤣🤣🤣
huyu mwandishi hajui kutafautisha kati ya "Poor" and "Extremely poor"
Skyboxes za opeque wall?😂😂🤣kumbuka ni level mbili hizo juu media chini skyboxes!
I guess Somalia, South Sudan and Haiti are rich juu hawako
Ni maandalizi tu bado kdg, t3 capacity yake bado haijafikiwa. Kumaintain terminal building na facility zake sio mchezo ni gharama kubwa, project iliyokuwa karibu karibu ni hotel mpango itumike wkt wa AFCON, maybeNimesikia JNIA Terminal 4 kujengwa
Nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa ATCL anasema Terminal 4 ni kwaajili ya Air Tanzania tu.Ni maandalizi tu bado kdg, t3 capacity yake bado haijafikiwa. Kumaintain terminal building na facility zake sio mchezo ni gharama kubwa, project iliyokuwa karibu karibu ni hotel mpango itumike wkt wa AFCON, maybe