wanaenda kulipa zaidi ya US$ 1.4 bln! Don't forget the cost of debt servicing!in us ni $350M, $1B in nyingi sana for a stadium, for $1B unapata santiago barnabeu full kama ilivo
Uganda wanalalamika hawakupewa Open or close CHAN so they want this time to be involved either open or closenimeandika in US$!
ndio matatizo ya TFF kualika watu ambao hawakua hata na chembe ya kutaka ku-host!Uganda wanalalamika hawakupewa Open or close CHAN so they want this time to be involved either open or close
wanaenda kulipa zaidi ya US$ 1.4 bln! Don't forget the cost of debt servicing!
View: https://x.com/Kibet_bull/status/2043226021961363682
actually inafika kama $1.2BYes, ukija kujumlisha na yale makoro koro ya interest ni net $1B
Amna they have a point, kumbuka na wenyewe wamelipa $30M kwahio they have a point, so either Kenya and tz mmoja atapumzika na kwa vile BID tuliweka sisi basi .......... π€£π€£π€£ndio matatizo ya TFF kualika watu ambao hawakua hata na chembe ya kutaka ku-host!
Kundustan,Nigeria and Ethiopia not only they are poor but they are failed state Bora na hizo ππI guess Somalia, South Sudan and Haiti are rich juu hawako
the famous list imezungushwa Tz mzima π
Huo sio uwanja umekaa kama sufuria ya kupikia githerinya Nyeri ππTeargass anajuaga uwanja ukiwa mpya basi unafika CAT 4 moja kwa moja π€£
View: https://x.com/giboretz/status/2042876806840357112?s=20
ngoja waje apa na makasiriko Teargass mwaiofhawaiiHuo sio uwanja umekaa kama sufuria ya kupikia githerinya Nyeri ππ
Wewe ni fala kweliπππ€£. Ulitaka Talanta Stadium ipakwe rangi ya black when its main theme is white?πππ€£π€£.Aisee elevator na ceiling za Talanta! Hivi ni kweli huu uwanja ume-cost US$ 1.4 bln? Rangi za hospitali! Na elevators cheap!
VS
View attachment 3577005